Quran Apps in many lanuages:

Surah Al-Ikhlas Translated in Swahili

قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
اللَّهُ الصَّمَدُ
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
وَلَمْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا أَحَدٌ
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.